Yeremia 22:13
Yeremia 22:13 Biblia Habari Njema (BHN)
“Ole wako Yehoyakimu wewe unayejenga nyumba kwa dhuluma na kuiwekea ghorofa bila kutumia haki. Unawaajiri watu wakutumikie bure wala huwalipi mishahara yao.
Shirikisha
Soma Yeremia 22Yeremia 22:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ole wake aijengaye nyumba yake kwa uovu! Na vyumba vyake kwa udhalimu! Atumiaye utumishi wa mwenzake bila ujira, Wala hampi mshahara wake
Shirikisha
Soma Yeremia 22