Yeremia 23:24
Yeremia 23:24 Biblia Habari Njema (BHN)
Je, mtu aweza kujificha mahali pa siri hata nisiweze kumwona? Hamjui kuwa mimi Mwenyezi-Mungu nipo kila mahali, mbinguni na duniani? Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.
Shirikisha
Soma Yeremia 23Yeremia 23:24 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Je, mtu ye yote aweza kujificha mahali pa siri, nisimwone? Asema BWANA. Je! Mbingu na nchi hazikujawa nami? Asema BWANA.
Shirikisha
Soma Yeremia 23