Yeremia 24:7
Yeremia 24:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Nitawapa moyo wa kujua kuwa mimi ndimi Mwenyezi-Mungu. Watakuwa watu wangu, nami nitakuwa Mungu wao; maana watanirudia kwa moyo wao wote.
Shirikisha
Soma Yeremia 24Yeremia 24:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nami nitawapa moyo, wanijue ya kuwa mimi ni BWANA; nao watakuwa watu wangu, nami nitakuwa Mungu wao; kwa maana watanirudia kwa moyo wao wote.
Shirikisha
Soma Yeremia 24