Yeremia 26:13
Yeremia 26:13 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Sasa tengenezeni njia zenu na matendo yenu, na kumtii BWANA Mungu wenu. Ndipo BWANA atawahurumia na kuacha kuleta maafa aliyokuwa ameyatamka dhidi yenu.
Shirikisha
Soma Yeremia 26Yeremia 26:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Sasa basi, rekebisheni mienendo yenu na matendo yenu na kutii sauti ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu. Mkifanya hivyo, Mwenyezi-Mungu atabadili nia yake na kuacha kuwaletea maafa aliyotamka dhidi yenu.
Shirikisha
Soma Yeremia 26