Yeremia 27:22
Yeremia 27:22 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Vitachukuliwa mpaka Babeli, navyo vitakaa huko, hata siku ile nitakapovijilia, asema BWANA; hapo ndipo nitakapovileta tena, na kuvirudisha mahali hapa.
Shirikisha
Soma Yeremia 27Yeremia 27:22 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
‘Vitachukuliwa kupelekwa Babeli, nako huko vitabaki mpaka siku nitakayovijilia,’ asema BWANA. ‘Kisha nitavirudisha na kuvirejesha mahali hapa.’ ”
Shirikisha
Soma Yeremia 27