Yeremia 27:5
Yeremia 27:5 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mimi nimeiumba dunia hii, wanadamu na wanyama walio juu ya uso wa nchi, kwa uweza wangu mkuu, na kwa mkono wangu ulionyoshwa; nami nawapa watu kama inipendezavyo.
Shirikisha
Soma Yeremia 27Yeremia 27:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Mimi ndimi niliyeiumba dunia, watu na wanyama waliomo kwa uwezo wangu na kwa mkono wangu wenye nguvu, nami humpa mtu yeyote kama nionavyo mimi kuwa sawa.
Shirikisha
Soma Yeremia 27