Yeremia 27:6
Yeremia 27:6 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Na sasa nimetia nchi hizi zote katika mkono wa Nebukadreza, mfalme wa Babeli, mtumishi wangu; na wanyama wa mwituni pia nimempa wamtumikie.
Shirikisha
Soma Yeremia 27Yeremia 27:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Sasa nimemkabidhi mtumishi wangu Nebukadneza mfalme wa Babuloni, nchi hizi zote; kadhalika nimempa wanyama wa porini wamtumikie.
Shirikisha
Soma Yeremia 27