Yeremia 28:9
Yeremia 28:9 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nabii atabiriye habari za amani, neno la nabii yule litakapotokea, ndipo nabii yule atakapojulikana, kuwa BWANA amemtuma kweli kweli.
Shirikisha
Soma Yeremia 28Yeremia 28:9 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Lakini nabii atakayetabiri amani atatambuliwa kuwa kweli ametumwa na BWANA ikiwa unabii wake utatimia.”
Shirikisha
Soma Yeremia 28