Yeremia 29:10
Yeremia 29:10 Biblia Habari Njema (BHN)
“Mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Baada ya miaka sabini huko Babuloni, baada ya muda huo, nitawajia na kuitimiza ahadi yangu ya kuwarudisha mahali hapa.
Shirikisha
Soma Yeremia 29Yeremia 29:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana BWANA asema hivi, Babeli utakapotimiziwa miaka sabini, nitawajia ninyi, na kulitimiza neno langu jema kwenu, kwa kuwarudisha mahali hapa.
Shirikisha
Soma Yeremia 29