Yeremia 29:11
Yeremia 29:11 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi, asema BWANA, ni mawazo ya amani wala si ya mabaya, kuwapa ninyi tumaini siku zenu za mwisho.
Shirikisha
Soma Yeremia 29Yeremia 29:11 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Kwa maana ninajua mipango niliyo nayo kwa ajili yenu,” asema BWANA, “ni mipango ya kuwafanikisha na wala si ya kuwadhuru, ni mipango ya kuwapa tumaini katika siku zijazo.
Shirikisha
Soma Yeremia 29