Yeremia 29:6 - Linganisha Matoleo Yote
Yeremia 29:6 BHN (Biblia Habari Njema)
Oeni wake, mpate watoto; waozeni wana wenu na binti zenu nao pia wapate watoto. Ongezekeni na wala msipungue.
Shirikisha
Yeremia 29 BHNYeremia 29:6 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
oeni wake, mkazae wana na binti; kawaozeni wake wana wenu, mkawaoze waume binti zenu, wazae wana na binti; mkaongezeke huko wala msipungue.
Shirikisha
Yeremia 29 SUVYeremia 29:6 SRUV (Swahili Revised Union Version)
oeni wake, mkazae wana na binti; kawaozeni wake wana wenu, mkawaoze waume binti zenu, wazae wana na binti; mkaongezeke huko wala msipungue.
Shirikisha
Yeremia 29 SRUVYeremia 29:6 NEN (Neno)
Oeni wake na mzae watoto wa kiume na wa kike; watafutieni wake watoto wenu wa kiume, na waozeni binti zenu ili nao wazae watoto wa kiume na wa kike; mkaongezeke huko, wala msipungue idadi.
Shirikisha
Yeremia 29 NEN