Yeremia 3:12
Yeremia 3:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, nenda ukamtangazie Israeli maneno yafuatayo: Rudi, ewe Israeli, usiye mwaminifu. Nami sitakutazama kwa hasira kwa kuwa mimi ni mwenye huruma. Naam, sitakukasirikia milele.
Shirikisha
Soma Yeremia 3Yeremia 3:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nenda, ukatangaze maneno haya kuelekea upande wa kaskazini, ukaseme, Rudi, Ee Israeli mwenye kuasi, asema BWANA; sitakutazama kwa hasira; maana mimi ni mwenye rehema, asema BWANA, sitashika hasira hata milele.
Shirikisha
Soma Yeremia 3