Yeremia 3:22
Yeremia 3:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Rudini, enyi watoto msio na uaminifu, mimi nitaponya utovu wenu wa uaminifu. “Nanyi mwasema: ‘Tazama, sisi tunarudi kwako, maana, wewe ndiwe Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu.
Shirikisha
Soma Yeremia 3Yeremia 3:22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Rudini, enyi watoto waasi, mimi nitaponya maasi yenu. Tazama, tumekuja kwako; maana wewe u BWANA, Mungu wetu.
Shirikisha
Soma Yeremia 3