Yeremia 30:17
Yeremia 30:17 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Maana nitakurudishia afya, nami nitakuponya jeraha zako, asema BWANA, kwa sababu wamekuita, mwenye kutupwa, wakisema, Ni Sayuni, ambao hapana mtu autakaye.
Shirikisha
Soma Yeremia 30Yeremia 30:17 Biblia Habari Njema (BHN)
“Nitakurudishia afya yako, na madonda yako nitayaponya, japo wamekuita ‘Aliyetupwa’, ‘Mji Siyoni usio na wa kuutunza!’”
Shirikisha
Soma Yeremia 30