Yeremia 32:17
Yeremia 32:17 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Aa! Bwana MUNGU, tazama, wewe umeziumba mbingu na nchi, kwa uweza wako mkuu na kwa mkono wako ulionyoshwa; hapana neno lililo gumu usiloliweza
Shirikisha
Soma Yeremia 32Yeremia 32:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Ee Mwenyezi-Mungu, ni wewe ambaye kwa nguvu zako nyingi na uwezo wako mkuu, umeziumba mbingu na dunia; hakuna kisichowezekana kwako.
Shirikisha
Soma Yeremia 32Yeremia 32:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Aa! Bwana MUNGU, tazama, wewe umeziumba mbingu na nchi, kwa uweza wako mkuu na kwa mkono wako ulionyoshwa; hapana neno lililo gumu usiloliweza
Shirikisha
Soma Yeremia 32