Yeremia 38:2
Yeremia 38:2 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
“Hili ndilo asemalo BWANA: ‘Yeyote akaaye ndani ya mji huu atakufa kwa upanga, njaa au tauni, lakini yeyote atakayejisalimisha kwa Wakaldayo ataishi. Atakayeyatoa maisha yake kama nyara, ataishi.’
Shirikisha
Soma Yeremia 38Yeremia 38:2 Biblia Habari Njema (BHN)
“Mwenyezi-Mungu asema hivi: Yeyote atakayebaki katika mji huu atakufa kwa vita, njaa na maradhi; lakini yule atakayeondoka na kujisalimisha kwa Wakaldayo, ataishi. Atakuwa ametekwa nyara na kuishi.
Shirikisha
Soma Yeremia 38