Yeremia 38:20
Yeremia 38:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Yeremia akamjibu, “Hutakabidhiwa kwao. Wewe sasa tii anachosema Mwenyezi-Mungu, kama ninavyokuambia, na mambo yote yatakuendea vema, na maisha yako yatasalimika.
Shirikisha
Soma Yeremia 38Yeremia 38:20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini Yeremia akasema, La! Hawatakutoa. Nakusihi, uitii sauti ya BWANA katika hayo ninayokuambia; ndivyo itakavyokufaa, na nafsi yako utaishi.
Shirikisha
Soma Yeremia 38