Yeremia 4:18
Yeremia 4:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Yuda, mwenendo wako na matendo yako yamekuletea hayo. Hayo ndiyo maafa yaliyokupata, tena ni machungu; yamepenya mpaka ndani moyoni mwako.”
Shirikisha
Soma Yeremia 4Yeremia 4:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Njia yako na matendo yako yamekupatia haya; huu ndio uovu wako; kwa maana ni uchungu, hakika unafikia hata moyo wako.
Shirikisha
Soma Yeremia 4