Yeremia 4:22
Yeremia 4:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu asema: “Watu wangu ni wapumbavu, hawanijui mimi. Wao ni watoto wajinga; hawaelewi kitu chochote. Ni mabingwa sana wa kutenda maovu, wala hawajui kutenda mema.”
Shirikisha
Soma Yeremia 4Yeremia 4:22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana watu wangu ni wapumbavu, hawanijui; ni watoto waliopungukiwa na akili, wala hawana ufahamu; ni wenye akili katika kutenda mabaya, bali katika kutenda mema hawana maarifa.
Shirikisha
Soma Yeremia 4