Yeremia 44:23
Yeremia 44:23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa sababu mmefukiza uvumba, na kwa sababu mmetenda dhambi juu ya BWANA, wala hamkuitii sauti ya BWANA, wala hamkwenda katika torati yake, wala katika amri zake, wala katika shuhuda yake; ndiyo maana mabaya haya yamewapata kama ilivyo leo.
Shirikisha
Soma Yeremia 44Yeremia 44:23 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kwa sababu mmefukiza uvumba, na kwa sababu mmetenda dhambi juu ya BWANA, wala hamkuitii sauti ya BWANA, wala hamkwenda katika torati yake, wala katika amri zake, wala katika shuhuda yake; ndiyo maana mabaya haya yamewapata kama ilivyo leo.
Shirikisha
Soma Yeremia 44