Yeremia 5:31
Yeremia 5:31 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Manabii wanatabiri uongo, na makuhani wanatawala kwa msaada wa hao; na watu wangu wanapenda mambo yawe hivyo. Nanyi mtafanya nini mwisho wake?
Shirikisha
Soma Yeremia 5Yeremia 5:31 Biblia Habari Njema (BHN)
Manabii wanatabiri mambo ya uongo, makuhani nao hutafuta faida yao wenyewe; na watu wangu wanaona jambo hilo kuwa sawa. Lakini mwisho utakapofika mtafanyaje?”
Shirikisha
Soma Yeremia 5