Yeremia 50:6
Yeremia 50:6 Biblia Habari Njema (BHN)
“Watu wangu walikuwa kondoo waliopotea; wachungaji wao wamewapotosha, wakawageuza kuelekea milimani; walitembea toka mlima hadi kilima, wakasahau zizi lao.
Shirikisha
Soma Yeremia 50Yeremia 50:6 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
“Watu wangu wamekuwa kondoo waliopotea; wachungaji wao wamewapotosha na kuwasababisha kuzurura juu ya milima. Walitangatanga juu ya mlima na kilima, na kusahau mahali pao wenyewe pa kupumzikia.
Shirikisha
Soma Yeremia 50