Yeremia 6:10
Yeremia 6:10 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Niseme na nani na kushuhudia, wapate kusikia? Tazama, sikio lao halikutahiriwa, wala hawawezi kusikiliza; tazama, neno la BWANA limekuwa matukano kwao; hawalifurahii.
Shirikisha
Soma Yeremia 6Yeremia 6:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Nitaongea na nani nipate kumwonya, ili wapate kunisikia? Tazama, masikio yao yameziba, hawawezi kusikia ujumbe wako. Kwao neno lako, ee Mwenyezi-Mungu, limekuwa jambo la dhihaka, hawalifurahii hata kidogo.
Shirikisha
Soma Yeremia 6