Yeremia 6:19
Yeremia 6:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Sikiliza ee dunia! Mimi nitawaletea maafa watu hawa kulingana na nia zao mbaya. Maana hawakuyajali maneno yangu, na mafundisho yangu nayo wameyakataa.
Shirikisha
Soma Yeremia 6Yeremia 6:19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Sikia, Ee nchi; tazama, nitaleta mabaya juu ya watu hawa, naam, matunda ya mawazo yao, kwa sababu hawakuyasikiliza maneno yangu; tena kwa habari ya sheria yangu, wameikataa.
Shirikisha
Soma Yeremia 6