Yeremia 7:24
Yeremia 7:24 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Lakini hawakusikiliza, wala kutega sikio lao, bali walikwenda kwa mashauri yao wenyewe, na kwa ushupavu wa mioyo yao mibaya, wakaenda nyuma wala si mbele.
Shirikisha
Soma Yeremia 7Yeremia 7:24 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini wao hawakunitii wala kunitegea sikio. Badala yake wakafuata fikira zao wenyewe na ukaidi wa mioyo yao, wakarudi nyuma badala ya kusonga mbele.
Shirikisha
Soma Yeremia 7