Yeremia 8:4
Yeremia 8:4 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Tena utawaambia, BWANA asema hivi, Je! Watu wataanguka, wasisimame tena? Je! Mtu atageuka aende zake, asirudi tena?
Shirikisha
Soma Yeremia 8Yeremia 8:4 Biblia Habari Njema (BHN)
“Wewe Yeremia utawaambia kuwa mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Mtu akianguka, je hainuki tena? Mtu akipotea, je, hairudii tena njia yake?
Shirikisha
Soma Yeremia 8