Yeremia 8:7
Yeremia 8:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Hata korongo anajua wakati wa kuhama; njiwa, mbayuwayu na koikoi, hufuata majira yao ya kurudi. Lakini watu wangu hawa hawajui kitu juu ya amri zangu mimi Mwenyezi-Mungu.
Shirikisha
Soma Yeremia 8Yeremia 8:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naam, koikoi angani ajua nyakati zake zilizoamriwa; na hua na mbayuwayu na korongo huangalia wakati wa kuja kwao; bali watu wangu hawazijui amri za BWANA.
Shirikisha
Soma Yeremia 8