Yeremia 8:9
Yeremia 8:9 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Wenye hekima wametahayari, wamefadhaika na kushikwa; tazama, wamelikataa neno la BWANA, wana akili gani ndani yao?
Shirikisha
Soma Yeremia 8Yeremia 8:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Wenye hekima wenu wataaibishwa; watafadhaishwa na kunaswa. Wamelikataa neno la Mwenyezi-Mungu; je, ni hekima gani hiyo waliyo nayo?
Shirikisha
Soma Yeremia 8