Yohane 1:12
Yohane 1:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini wale waliompokea, wale waliomwamini, aliwapa uwezo wa kuwa watoto wa Mungu
Shirikisha
Soma Yohane 1Yohane 1:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake
Shirikisha
Soma Yohane 1Yohane 1:12 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake
Shirikisha
Soma Yohane 1