Yohane 1:12-13
Yohane 1:12-13 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake; waliozaliwa, si kwa damu, wala si kwa mapenzi ya mwili, wala si kwa mapenzi ya mtu, bali kwa Mungu.
Shirikisha
Soma Yohane 1Yohane 1:12-13 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini wale waliompokea, wale waliomwamini, aliwapa uwezo wa kuwa watoto wa Mungu, ambao walizaliwa si kwa maumbile ya kibinadamu, wala kwa nguvu za kimwili, wala mapenzi ya mtu, bali kutokana na Mungu mwenyewe.
Shirikisha
Soma Yohane 1Yohane 1:12-13 Swahili Revised Union Version (SRUV)

Soma Yohane 1