Yohane 11:4
Yohane 11:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Yesu aliposikia hivyo, akasema, “Ugonjwa huo hautaleta kifo, ila ni kwa ajili ya kumtukuza Mungu; ameugua ili kwa njia hiyo Mwana wa Mungu atukuzwe.”
Shirikisha
Soma Yohane 11Yohane 11:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye Yesu aliposikia, alisema, Ugonjwa huu si wa mauti, bali ni kwa ajili ya utukufu wa Mungu, ili Mwana wa Mungu atukuzwe kwa huo.
Shirikisha
Soma Yohane 11