Yohane 12:24
Yohane 12:24 Biblia Habari Njema (BHN)
Kweli nawaambieni, punje ya ngano hubaki punje tu isipokuwa ikianguka katika udongo na kufa. Kama ikifa, basi huzaa matunda mengi.
Shirikisha
Soma Yohane 12Yohane 12:24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Amin, amin, nawaambia, Chembe ya ngano isipoanguka katika nchi, ikafa, hukaa hali iyo hiyo peke yake; bali ikifa, hutoa mazao mengi.
Shirikisha
Soma Yohane 12