Yohane 12:26
Yohane 12:26 Biblia Habari Njema (BHN)
Anayetaka kunitumikia ni lazima anifuate, hivyo kwamba popote pale nilipo mimi ndipo na mtumishi wangu atakapokuwa. Mtu yeyote anayenitumikia Baba yangu atampa heshima.
Shirikisha
Soma Yohane 12Yohane 12:26 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mtu akinitumikia, na anifuate; nami nilipo, ndipo na mtumishi wangu atakapokuwapo. Tena mtu akinitumikia, Baba atamheshimu.
Shirikisha
Soma Yohane 12