Yohane 13:34-35
Yohane 13:34-35 Biblia Habari Njema (BHN)
Nawapeni amri mpya: Pendaneni; pendaneni kama nilivyowapenda nyinyi. Mkipendana, watu wote watajua kwamba nyinyi ni wanafunzi wangu.”
Shirikisha
Soma Yohane 13Yohane 13:34-35 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Amri mpya nawapa, Mpendane. Kama vile nilivyowapenda ninyi, nanyi mpendane vivyo hivyo. Hivyo watu wote watatambua ya kuwa ninyi mmekuwa wanafunzi wangu, mkiwa na upendo ninyi kwa ninyi.
Shirikisha
Soma Yohane 13Yohane 13:34-35 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Amri mpya nawapa, Mpendane. Kama vile nilivyowapenda ninyi, nanyi mpendane vivyo hivyo. Hivyo watu wote watatambua ya kuwa ninyi mmekuwa wanafunzi wangu, mkiwa na upendo ninyi kwa ninyi.
Shirikisha
Soma Yohane 13