Yohane 14:27
Yohane 14:27 Biblia Habari Njema (BHN)
“Nawaachieni amani; nawapeni amani yangu. Siwapi nyinyi kama vile ulimwengu ufanyavyo. Msiwe na wasiwasi, wala msifadhaike.
Shirikisha
Soma Yohane 14Yohane 14:27 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Amani nawaachieni; amani yangu nawapa; niwapavyo mimi sivyo kama ulimwengu utoavyo. Msifadhaike mioyoni mwenu, wala msiwe na woga.
Shirikisha
Soma Yohane 14Yohane 14:27 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Amani nawaachieni; amani yangu nawapa; niwapavyo mimi sivyo kama ulimwengu utoavyo. Msifadhaike mioyoni mwenu, wala msiwe na woga.
Shirikisha
Soma Yohane 14