Yohane 16:33
Yohane 16:33 Biblia Habari Njema (BHN)
Nimewaambieni mambo haya ili mpate kuwa na amani katika kuungana nami. Ulimwenguni mtapata masumbuko; lakini jipeni moyo! Mimi nimeushinda ulimwengu!”
Shirikisha
Soma Yohane 16Yohane 16:33 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hayo nimewaambieni mpate kuwa na amani ndani yangu. Ulimwenguni mnayo dhiki; lakini jipeni moyo; mimi nimeushinda ulimwengu.
Shirikisha
Soma Yohane 16Yohane 16:33 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Hayo nimewaambieni mpate kuwa na amani ndani yangu. Ulimwenguni mnayo dhiki; lakini jipeni moyo; mimi nimeushinda ulimwengu.
Shirikisha
Soma Yohane 16