Yohane 18:11
Yohane 18:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Yesu akamwambia Petro, “Rudisha upanga wako alani. Je, nisinywe kikombe cha mateso alichonipa Baba?”
Shirikisha
Soma Yohane 18Yohane 18:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi Yesu akamwambia Petro, Rudisha upanga alani mwake; je! Kikombe alichonipa Baba, mimi nisikinywee?
Shirikisha
Soma Yohane 18