Yohane 19:17
Yohane 19:17 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Yesu, akiwa ameubeba msalaba wake, akatoka kuelekea mahali palipoitwa Fuvu la Kichwa (kwa Kiebrania ni Golgotha).
Shirikisha
Soma Yohane 19Yohane 19:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Naye akatoka akiwa amejichukulia msalaba wake kwenda mahali paitwapo “Fuvu la Kichwa” (kwa Kiebrania Golgotha).
Shirikisha
Soma Yohane 19