Yohane 2:7-8
Yohane 2:7-8 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Yesu akawaambia, Jalizeni mabalasi maji. Nao wakayajaliza hata juu. Akawaambia, Sasa tekeni, mkampelekee mkuu wa meza. Wakapeleka.
Shirikisha
Soma Yohane 2Yohane 2:7-8 Biblia Habari Njema (BHN)
Yesu akawaambia, “Ijazeni mitungi hiyo maji.” Nao wakaijaza mpaka juu. Kisha akawaambia, “Sasa choteni mkampelekee mkuu wa karamu.”
Shirikisha
Soma Yohane 2