Yohane 21:18
Yohane 21:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Kweli nakuambia, ulipokuwa kijana ulizoea kujifunga mshipi na kwenda kokote ulikotaka. Lakini utakapokuwa mzee utanyosha mikono yako, na mtu mwingine atakufunga na kukupeleka usikopenda kwenda.”
Shirikisha
Soma Yohane 21Yohane 21:18 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Akasema, Amin, amin, nakuambia, Wakati ulipokuwa kijana, ulikuwa ukijifunga mwenyewe na kwenda utakako; lakini utakapokuwa mzee, utainyosha mikono yako, na mwingine atakufunga na kukuchukua usikotaka.
Shirikisha
Soma Yohane 21