Yohane 3:36
Yohane 3:36 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Amwaminiye Mwana yuna uzima wa milele; asiyemwamini Mwana hataona uzima, bali ghadhabu ya Mungu inamkalia.
Shirikisha
Soma Yohane 3Yohane 3:36 Biblia Habari Njema (BHN)
Anayemwamini Mwana anao uhai wa milele; asiyemwamini Mwana hatakuwa na uhai wa milele, bali ghadhabu ya Mungu hubaki juu yake.
Shirikisha
Soma Yohane 3