Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yobu 11:17 - Linganisha Matoleo Yote

Yobu 11:17 BHN (Biblia Habari Njema)

Maisha yako yatangaa kuliko jua la adhuhuri, giza lake litabadilika kuwa mngao wa pambazuko.

Shirikisha
Yobu 11 BHN

Yobu 11:17 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Na maisha yako yatakuwa meupe kuliko adhuhuri; Lijapokuwa ni giza, litakuwa kama alfajiri.

Shirikisha
Yobu 11 SUV

Yobu 11:17 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Na maisha yako yatakuwa meupe kuliko adhuhuri; Giza lake litakuwa kama alfajiri.

Shirikisha
Yobu 11 SRUV

Yobu 11:17 NEN (Neno)

Maisha yako yatangʼaa kuliko adhuhuri, nalo giza litakuwa kama alfajiri.

Shirikisha
Yobu 11 NEN