Yobu 14:5
Yobu 14:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa kuwa siku zake zimeamriwa, hesabu ya miezi yake unayo wewe, Nawe umemwekea mipaka yake asiyoweza kuipita
Shirikisha
Soma Yobu 14Yobu 14:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Siku za kuishi binadamu zimepimwa; ee, Mungu umeipanga idadi ya miezi yake; hawezi kupita kikomo ulichomwekea.
Shirikisha
Soma Yobu 14