Yobu 23:12
Yobu 23:12 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Sikurudi nyuma kuiacha amri ya midomo yake; Nimeyatunza maneno ya kinywa chake zaidi ya riziki yangu
Shirikisha
Soma Yobu 23Yobu 23:12 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Sijaziacha amri zilizotoka midomoni mwake; nimeyathamini maneno ya kinywa chake kuliko chakula changu cha kila siku.
Shirikisha
Soma Yobu 23