Yobu 23:8-9
Yobu 23:8-9 Biblia Habari Njema (BHN)
“Tazama, nakwenda mbele, lakini simpati, narudi nyuma, lakini siwezi kumwona. Namtafuta upande wa kushoto lakini simwoni; nageukia kulia, lakini siwezi kumwona.
Shirikisha
Soma Yobu 23Yobu 23:8-9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tazama, naenda mbele, wala hayuko; Narudi nyuma, lakini siwezi kumwona; Na mkono wa kushoto, afanyapo kazi, lakini siwezi kumwona; Hujificha upande wa kulia, hata nisimwone.
Shirikisha
Soma Yobu 23