Yobu 25:5-6
Yobu 25:5-6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tazama, hata mwezi hauangazi, Wala nyota si safi machoni pake; Seuze mtu, aliye mdudu! Na mwanadamu, ambaye ni buu!
Shirikisha
Soma Yobu 25Yobu 25:5-6 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwake Mungu, hata mwezi haungai vya kutosha; nyota nazo si safi mbele yake; sembuse mtu ambaye ni mdudu, binadamu ambaye ni buu tu!”
Shirikisha
Soma Yobu 25