Yobu 26:7
Yobu 26:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yeye hutandaza kaskazi juu ya nafasi isiyo na kitu, Na kuutundika ulimwengu pasipo kitu.
Shirikisha
Soma Yobu 26Yobu 26:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu hutandaza kaskazini mahali patupu, na hutundika dunia mahali pasipo na kitu
Shirikisha
Soma Yobu 26