Yobu 3:21 - Linganisha Matoleo Yote
Yobu 3:21 BHN (Biblia Habari Njema)
Mtu atamaniye kifo lakini hafi; hutafuta kifo kuliko hazina iliyofichika.
Shirikisha
Yobu 3 BHNYobu 3:21 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ambao wangojea mauti, lakini hawayapati; Na kuyachimbulia zaidi ya kutafuta hazina iliyostirika
Shirikisha
Yobu 3 SUVYobu 3:21 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Ambao wangojea mauti, lakini hawayapati; Na kuyachimbulia kuliko watafutavyo hazina iliyostirika
Shirikisha
Yobu 3 SRUVYobu 3:21 NEN (Neno)
wale wanaotamani kifo ambacho hakiji, wale wanaotafuta kufa zaidi ya kutafuta hazina iliyofichwa
Shirikisha
Yobu 3 NEN