Yobu 37:23
Yobu 37:23 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Yeye Mwenyezi hatuwezi kumfikia, naye ametukuzwa katika uweza; katika hukumu zake na haki yake kuu, hataonea.
Shirikisha
Soma Yobu 37Yobu 37:23 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu Mwenye Nguvu asiyeweza kufikiwa na mtu, uwezo na uadilifu wake ni mkuu, amejaa wema wala hapotoshi haki kamwe.
Shirikisha
Soma Yobu 37