Yobu 37:5
Yobu 37:5 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Sauti ya Mungu hunguruma kwa namna za ajabu; yeye hutenda mambo makuu kupita ufahamu wetu.
Shirikisha
Soma Yobu 37Yobu 37:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu hupiga radi ya ajabu kwa sauti yake, hufanya mambo makuu tusiyoweza kuyaelewa.
Shirikisha
Soma Yobu 37